1 Thessalonians 5:23-24

23 aMungu mwenyewe, Mungu wa amani, awatakase ninyi kabisa. Nanyi mhifadhiwe roho zenu, nafsi zenu na miili yenu, bila kuwa na lawama katika Bwana wetu Isa Al-Masihi. 24 bYeye aliyewaita ni mwaminifu naye atafanya hayo.

Copyright information for SwhKC